NakujaaaNjoo uone
Utaishiwa kubakwa ukijaribu rusha ndoigeπππNitakupiga Ndoige ππ
Huwezi amini hii siyo nafasi ya upendeleo..Asante sana kwa kunipa nafasi ya upendeleo.πππ
View attachment 2409298
Yani nikiliamulia jambo langu sishindwagiπ
Ila dada tulikuamulia weweππ
Pongezi Kwa Heaven Sent na Chakorii ..π₯°π₯°π₯°
Sasa ole wake shem darling Pep aache kutununulia vitenge vya waksii kutoka kongoππ
Karibu sana tusogeze masaa na kufurahi pamoja humu babuu ! Mbona huwa huchangiagi lakini babuu yetuπ€π€???Marahaba Mjukuu, leo tumerudi mapema shambani kwahiyo nimepata muda wa kusoma soma maoni ya Vijana humu π€ͺπ€ͺ
Yaani huyo kaka ni wewe kabisa π€£π€£π€£Utaishiwa kubakwa ukijaribu rusha ndoigeπππView attachment 2409311
πππHuwezi amini hii siyo nafasi ya upendeleo..
Unastahili.
Na wala haihusiani na vurugu zenu za juzi na Dada Mkuu.
Wewe ulikuwa umeshaupiga mwingi nyuma.
Usituharibie sasa surprise.
Leo nimepoteza Miwani yangu ya Kusomea, kwahiyo napata shida kidogo kuandika π€ͺKaribu sana tusogeze masaa na kufurahi pamoja humu babuu ! Mbona huwa huchangiagi lakini babuu yetuπ€π€???
βΉπππππ mnavibani sana sasaaYaani huyo kaka ni wewe kabisa π€£π€£π€£
ππ kelele 1 inakuongeza kwenye list maskiniii kumbe deep down hamna hata kitu chenye ulifanya.. majirani wabayaaaa dada kataaaUtaishiwa kubakwa ukijaribu rusha ndoigeπππView attachment 2409311
π€£π€£π€£π€£π€£Pole sana babuu!! Kuna swali huku walimu wanabishana hebu tusaidie babu yetu eti ndege ilivozama watu walikufa kwa kukosa hewa wengine kwa kunywa maji mengi ndio mabishano sasa kwamba kwenye ndege hakuna nafasi ya kuingiza maji wengine wanasema ipo mjukuu wako hata sijuiiii hebu nieleweshe kwanza babu!!Leo nimepoteza Miwani yangu ya Kusomea, kwahiyo napata shida kidogo kuandika π€ͺ
Afadhali haujanichosha kuanza kubishanaπ πππ
Kichwa yako ni mbovu sana(zingatia nilipobold)
Maana hapa nikukubalie tu kabla hujaanza ubishiπ
Ngoja niwe mpole kuusubiria mwaka kesho π₯°π₯°π₯°
Thobotooooo, hubakiki kwani umekuqa shumiretaππ kelele 1 inakuongeza kwenye list maskiniii kumbe deep down hamna hata kitu chenye ulifanya.. majirani wabayaaaa dada kataaa
Me sibakiki ππ
NakujuaππAfadhali haujanichosha kuanza kubishana
Ndio vizuri visichakae mapemaβΉπππππ mnavibani sana sasaa
Sina zana ya mbakiko πThobotooooo, hubakiki kwani umekuqa shumireta
Sema hatuna hela hatuna kazi ndio maana hamtupi ila fresh ππNdio vizuri visichakae mapema
Ebu nione kaphoto kama hauna hiyo tool, nipitishe harambee uende uturuki waweke hata ya kutengezwaSina zana ya mbakiko π
Ndio utafute hela, wawe wanakuletea wenyewe bila wewe kuombaSema hatuna hela hatuna kazi ndio maana hamtupi ila fresh ππ