Kila ijumaa na jumapili. Jihadhari na maradhi yanayosababishwa na ulaji nyama kupindukia though [emoji3]Huwezi amini sikuwahi pajua kuna siku kwenye group wanapazungumzia nawauliza ni wapi[emoji3][emoji3]
Nilipita last week jumapili nikaona tu nyomi nikaonyeshwa ni pale.
this weekend nikija Dar nitaenda.
Huwa ni kila jumapili? au?
Niinjoi nn sasa[emoji22][emoji22]okay nice
enjoy
haya huzunika sasa ππNiinjoi nn sasa[emoji22][emoji22]
Eboo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakuchapa dogohaya huzunika sasa [emoji23][emoji23]
What a beautiful way to start my day/week π
π₯°π₯°π₯°π₯°πππWhat a beautiful way to start my day/week π
Thank youπ
Uhali gani chalii angu
Utanichapia wapi ππEboo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakuchapa dogo
Naomba uniPM nikushow kitu...π₯°π₯°π₯°π₯°πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa unaenda chumbani kwa Poker umepoteaje [emoji23][emoji23]Utanichapia wapi [emoji23][emoji23]
juzi nimepotea , nakupigia hupokei [emoji17].
Nitumie namba yake [emoji41][emoji41]Dada yangu mzuri mzuri Zodwa [emoji8][emoji8]
Ya kazi gani π«¨π«¨Nitumie namba yake
dah,mkuu,punguza kdg,humu wengine binti zangu banaπ Shemeji yetu huyo kwa mtu chake mapenzi moto moto π₯