Selfika na JF: Snap it. Show it

Picha ya tar. 06.10.2021

Ulikuwa hujaanza hata huo mchezo

Ebu eleweka bhana

Unanibania nini lakini[emoji848]

Ila wanawake unanibania hapa

Halafu huko hilo jamaa halina habari

Mwisho mnaanza oh wanaume ni mbwa

Sasa sijui nyie Ke ni paka mwitu..
Alinipa 2021 πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kamanda Pep anatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…