Marahaba mdogo wangu uko poa?Hello kaka
shikamoo
nipo poa kabisa vipi wewe ?Marahaba mdogo wangu uko poa?
Mwenyejiii naomba nije kulaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimecheka km chizi wallah.Kuna mtu anakutongoza then ukimuangalia unasema moyoni huyu ni big no , ndo wamwambia hapo Kaka I'm taken , ili asikusumbue kumkubalia .
Ila akija mkaka , unayempenda unaweza zuga siku kadhaa halfu Mambo yakatiki
Nami niko salama kabisa boss wangunipo poa kabisa vipi wewe ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mna nn lakini? Nacheka mnooo.Halafu unayempenda haji ng'ooo
Uliyemwita kaka kumbe ndo Mungu alikuketea[emoji23]View attachment 2403180
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Noma aisee
unayemtaka , hakutaki
usiyemtaka ndo huyo anakufata
Tatizo lugha dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pokea mtongozo huu [emoji23][emoji23]
Weโve been friends a while now, and I find myself really drawn in to you.
Thereโs just something that canโt be put precisely into words, but I feel like I love you.
Not just as a friend, but I love you because we are such good friends. [emoji7][emoji7]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
Kumekuchaaaaaaa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa. Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, BWANA ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu.
๐๐๐Halafu unayempenda haji ng'ooo
Uliyemwita kaka kumbe ndo Mungu alikuketea[emoji23]View attachment 2403180
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimecheka km chizi wallah.
Vizuri BossNami niko salama kabisa boss wangu
๐๐๐Tatizo lugha dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]