anaweweseka kweli anajua nachepuka kumbe wala na kingine dada yangu Nina wivu kweli ku share mabwana sjui ilikuwaje nikawa shoga[emoji1787][emoji1787]
mmmh,rafikiUsikute tamaa rafiki , jaribu inaweza tiki.
dah,acha ni mtazame tu anavyochatNdo hivyo
Utapata unachostahili,na si unachotaka.
naogopa rafiki, acha nile kwa machondio
fanya mambo ,
Za asubuhi
ooh vyema rafiki , maisha yanasemaje .naogopa rafiki, acha nile kwa macho
Za asubuhi ni poa
maisha poa kbs,karibu tupambaneooh vyema rafiki , maisha yanasemaje .
Asante Boss ,maisha poa kbs,karibu tupambane
km uchovu nije kuutoa na km ni kuumwa poleAsante Boss ,
Leo nimeamka kiuvivu , sijui ndo uchovu wa jana au naumwa .
thank you πkm uchovu nije kuutoa na km ni kuumwa pole
nini imechangia,? Tunautoa kwa mazoezithank you π
Utautoaje ?
Jana sijalala vizuri inawezekana pia na hii imechangia
nitakaa chini aisee , sio kwa uvivu huunini imechangia,? Tunautoa kwa mazoezi
hahahaha,haya hy hy joggingnitakaa chini aisee , sio kwa uvivu huu
labda iwe jogging hivi
Arusha, leo usiku utafagia Soko kuu mpaka Samunge yote kisha utamalizia na KilomberoNianze soko la mkoa gani dada yangu mzuri ππ
Amkaaaaa fastaNimelala
Nipo naparangana huku, nilale hadi saivi nina raha gani mieAmkaaaaa fasta
na hapo utaniacha nyuma πhahahaha,haya hy hy jogging
hahahaha,dahna hapo utaniacha nyuma π