Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Nikimtaja Putin uchawi upoMweh utawaja wote hadi Putin , baba yolly yolly .
Niishie hapo my
Ndo anayefuatia sasa ππNikimtaja Putin uchawi upo
πππUna pata tabu we kiumbeTumepigwaaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Nikimtaja mniueNdo anayefuatia sasa ππ
Haya baadaye dear tutaona picha hiyoB
Baadaye nitairudia
Sasahivi baba mtumishi wangu atapigwa na mionzi ya jua
Hahaha kumbe yumo humu alooohNikimtaja mniue
Mjep huyoHahaha kumbe yumo humu aloooh
Achana na wale ambao wameenda kusoma, pata yule ambaye ameenda nje yuko kwenye social environment ambayo anazungukwa na watu wa jamii hyo,,Hao wameanza kuishi huko wakiwa wadogo
Ni sawa wao kuwa hivyo
Hahaha kumbe yumo humu alooohNikimtaja mniue
Id inafurahisha sana aliwaza nini akajiita hivyo ππMbao za Mawe cha utundu
Hahaha wewe bintiNdiyo
Mjep huyo
Ukorofi wake tuId inafurahisha sana aliwaza nini akajiita hivyo ππ