Mtajua wenyeweeee mi simooo!!Au ngoja tumwite braza amuombe
π€£π€£π€£π€£Ndio maana ananisisitiza kunywa maziwa mgando
Mimi siyapendii..nikinywa anafurahi.
Kumbe mwenzangu anatengeneza mtelezo siku akinikamata aserereke tu.
Kabisa na braza yupo hapa leo madam anaturingia we acha tuAu ngoja tumwite braza amuombe
Ngoja nikazane na mtindi aiseeπ€£π€£π€£π€£π€£πππππ! Sasa je hebu mpe mwenzio aenjoy hukoo!π
Wana selfika mlichukunywa leo mnajua wenyewe Hakyanani ni mmechachukaaa si mchezoo πChief na wewe umeambukizwa huu upambeπ€£
Nikasema huyu Madame leo ni vipi πKabisa na braza yupo hapa leo madam anaturingia we acha tu
Ila huko moyoni mwenyewe anafuraha kweli kumuona mzee wake hapa
Fanya kunipasia namie mrashia akute kushaziba kabisa Aanze upyaππππ€£π€£π€£!Ngoja nikazane na mtindi aisee
Watu mna Siri za kambi na hamsemi.
Na maziwa yanadoda tu nyumbani hapa
Shikamoo mremboVzuri ccy
ππ
Im happy to hear that sis Karibu sana sema leo wana selfika wamechachuka balaaVzuri ccy
ππ
Kesho nisipomaliza glass 3 mniite mbwaπ€£π€£π€£π€£
Cement ya kumwaga ipo iringa huku nimekuja kisela sela kumsabahi mzee wa masters[emoji3]Niambie iko wapi nije kuchukua
Ooh vyemaWkend poa saaana nipo mbeyaaaa kupumzika
Marahaba mdg angu mzima wwShikamoo mrembo
Unapajua?Ooh vyema
Enjoy your stay Mkuu
Mbeya pazuri sana , kiufupi ukanda huo umetulia .
Wamekuaje tena ccyIm happy to hear that sis Karibu sana sema leo wana selfika wamechachuka balaa
Awwwwwwwwwww ππππ Tena huo mzito mzitoooo mulemuleeeee ππππKesho nisipomaliza glass 3 mniite mbwa
Juzi nimekunywa Moja napo kwa mbinde
Kumbe Baba Mtumishi ashapiga hesabu za Mbele aisee..anatayarisha nazingira.
Kumbe yanaziba!!!Fanya kunipasia namie mrashia akute kushaziba kabisa Aanze upyaππππ€£π€£π€£!
Mjepuuuuπ₯°ππYaani future husband ajiandae na dawa za kutosha akipita jf anakufa mazima π€£π€£π€£