Nilitaka kushangaa eti wa kwa mtogole mwenzetu umekwea pipa lini ππππJoking tu mkuu... Hiyo miji naiskiaga kwenye betting tu apoel nicosia, apollon limassol
We na lemutuz. Ni damu damu kwenye upande wa kula lebataz.Tambueni uwepo wanguView attachment 1258850
Mekununiaa mimiiiMama mchungwaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh teeeeh!Unnnh...nuh
Haya mama.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]endiwooo leo nimeona
πYaani mi hata sikuona mwanzo! Mpaka ulivyozungushia!
Hahah sijasema hivyo...
Maana yangu ingizo jipya na zama wako tofauti kabisa...
Nilitaka kushangaa eti wa kwa mtogole mwenzetu umekwea pipa lini ππππ
muone vile, nitakufinya...
[emoji44][emoji44][emoji44]
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh!
Wow! una rangi nzuri[emoji7]
hapa ulikuwa unaenda au unarudi?Sure, hadi kufikia kufanya kazi katika migahawa na mahotel makubwa ya huku ni kwamba life liko so expensive. Hii picha ya chini nilipiga katika ufukwe mmoja unaitwa unaitwa escape beach club
View attachment 1258831