Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna siku mdada aliweka imoji usoni jamaa akamwambia yaani unajiona umeficha sana uso

Niitoe akaambiwa Toa
Kilichofuata mods waliiondoa maana alilalamika sana
Kuna wataalamu humu wanawachora tu
Ngoja niangalie angalie picha zenu kwanza haha
Sijawahi ona mtu anatoa emoj ya mtu tangu huu uzi umeanza hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…