Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,390
Madam Mkemia MC wetu weweeee π₯ π₯ π₯Saint Anne sophy27 Tinsley mnitafutie nguo 2 za kuvaa Alhamisππ!! ukumbini uwanjani na Inner part!!
Weuweeh unapoendelea rangi gani madam ?Saint Anne sophy27 Tinsley mnitafutie nguo 2 za kuvaa Alhamisππ!! ukumbini uwanjani na Inner party!!
Lile jicho kali au lingineTunaongelea lakwako hebu Tubless mchana ukae vizuri asee
Naona Hilo limepata kura Nyingi .. kasheshe usikuuu lolMadam Mkemia MC wetu weweeee π₯ π₯ π₯
Vaa gauni kali lile jeusi la kunata
Jicho kareee linaloitaaLile jicho kali au lingine
Mi hata naelewa kufatilia rangi sasaπππ! Sijuiii hebu niambie rangi zinazonipendeza dearWeuweeh unapoendelea rangi gani madam ?
Naona mchanaa uvae gauni zuri simple na hiyo party ndo uwake ππ₯°
Ngoja aje designer Lovie akuchagulie jingineNaona Hilo limepata kura Nyingi .. kasheshe usikuuu lol
Acha uogaNavyoogopa kupitilizwa kituo , nipo macho kodo ππ .
Na Mama PastaTena nilisahau Lovelovie pia yuko vyedi kwenye kupangilia rangi
Huyo Ex wake anaanzia wapi kunihug π
Yahitaji moyo kwa kweli
Amemhug kabisa mwenyewe
Mama Pasta Heaven Sent katususa sana! Angeniwekea zangu hadi mishono mimiiNa Mama Pasta
Na Tinsley
Hawa ndo watabe wa rangi
Kumbe upo mbeya alhamis nakuja huko utakuja basi uyole nyumbani siunapajua uje uchukue,, nikupeleke na chunya mgodini ukatembeeNipo Mbeya tayari.
Nitumie kesho basi niipokee.
Nipe kwanza hizo Cement,Kumbe upo mbeya alhamis nakuja huko utakuja basi uyole nyumbani siunapajua uje uchukue,, nikupeleke na chunya mgodini ukatembee
Ila kwa kauli moja tu ya boss ledi atarudi.Mama Pasta Heaven Sent katususa sana! Angeniwekea zangu hadi mishono mimii
Una rangi nzuri ya kung'aa naona kila rangi itakupenda .Mi hata naelewa kufatilia rangi sasaπππ! Sijuiii hebu niambie rangi zinazonipendeza dear
Tuko Levant boss wahiπmpo wapi, nije wasabahi π π
Gari linaenda mkoa mwingine hili ππ nijikute huko ya nini .Acha uoga