Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Namshukuru Mungu kwa kweli vipi wewe ?Mpendwa wangu
Umeamka (je)
Habari za huko
Namshukuru Mungu kwa kweli vipi wewe ?Mpendwa wangu
Umeamka (je)
Marahaba mrembo mwenye lips za dhahabuHabari ya leo Mr.vocha
Shikamoo kwako ?
Weuwe ilikuwa naked kumbe .Niko njema sana dear!!
Lol nilipita kama nilivooooooo!!
Wee sema kweli Wige?? Hivi Ndio alikua kazungukwa na totoz mbili ehh???Huyu alikuwa anatumbua znz
😍🥰Marahaba mrembo mwenye lips za dhahabu
Eendiwoooooooo dear!!Weuwe ilikuwa naked kumbe .
Huku njemaNamshukuru Mungu kwa kweli vipi wewe ?
Habari za huko
YeahWee sema kweli Wige?? Hivi Ndio alikua kazungukwa na totoz mbili ehh???
Shwari kabisa mkuu..Salama chief
mawardat njoo umjibu blaza hapa chapYupi tako moja
Yupi nusu tako
Jambo jema hiloHuku njema
Kumekucha
Lol atakua yuko vizure walai kumiliki totoz mbili muda huo huo sio mchezo Ujue ! Sasa namie tukatanue nanani rafiki au niunge tela hapohapo 🤔🤔 ebu nifanyie mchongo fastaa weekend nikajiachie nioshe macho mie!!😉Yeah
Madam wewe na Wige wako mmekunywa nn mapema hivi?🤣🤣🤣Lol atakua yuko vizure walai kumiliki totoz mbili muda huo huo sio mchezo Ujue ! Sasa namie tukatanue nanani rafiki ebu nifanyie mchongo fastaa weekend nikajiachie mie!!😉
Namie naunga tela hapohapo tunakua mtu 4 mr vocha usintanieeee! 😁😂!Madam wewe na Wige wako mmekunywa nn mapema hivi?🤣🤣🤣
Wacha bana😍Namie naunga tela hapohapo tunakua mtu 4 mr vocha usintanieeee! 😁😂!
Utatumudu hutamudu sio kesi yanguu hiooo😉😉