Salaam jirani!Salam kwenu wote
Salama kabisa, hujambo jirani..Salaam jirani!
Hulali wewe Mzee[emoji1787]Aiseeeee[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
BL[emoji119][emoji119]
Morning madam Boss LadyMorning mr Vocha,!π€©
Kama wewe uko macho mimi nitalala hadi muda huu nimelogwa?Hulali wewe Mzee[emoji1787]
Yako cha mtoto
Huko mwendokas na madaladala
Najua macho yalikuwa kodo
Li Antonnia ni Lizuri
Salama chiefSalam kwenu wote
Santo sana katibu! In Wigelekelo voice π€!Morning madam Boss Lady
Asante kwa selfie matata sanaπ
Upambe umeanza lini mr Vocha lakini wewe zako noti banaa upambe mwachie Putin ππ!Kama wewe uko macho mimi nitalala hadi muda huu nimelogwa?
Nimeshaamka kusaka noti
Kweli boss lady ni balaa na nusu
Nimekua katibu tena?Santo sana katibu! In Wigelekelo voice π€!
Morning beautiful T πGood morning to y'all
Morning beautifulGood morning to y'all
Hiyo nusu toa[emoji1787]Kama wewe uko macho mimi nitalala hadi muda huu nimelogwa?
Nimeshaamka kusaka noti
Kweli boss lady ni balaa na nusu
Vipi mzima ?Morning beautiful T π
Wee mtu mkubwa ukatibu sio wako kabisa mr Vocha!π€Nimekua katibu tena?
Basi ngoja nianze kuchukua notice
Habari ya leo Mr.vochaMorning beautiful
Niko njema sana dear!!Vipi mzima ?
Picha sijaiona ila najua umetokelezea madam π
Huyu alikuwa anatumbua znzUpambe umeanza lini mr Vocha lakini wewe zako noti banaa upambe mwachie Putin [emoji6][emoji16]!