Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani sisi hatuwavumilii??
Mbona tunawavumilia kabisa,Kuna siku mnarudi bila bila ila tunawapenda hivyohivyo.
 
Waaah Nkamu!!
Hapana kwa kweli..Mwanaume lazima uchakarike tule mwee.
Ndoa siyo rahisi kama ambavyo wengi mnadhani. Watu wanavumiliana kwa mengi sana.
Sema siku hizi kila mtu anataka kujifanya anaishi maisha ya Ulaya na Marekani....
Aiseee, mtafika mmechoka sana, yaani sanaa.... 😁 😁 😁
 
Nkamu tunavumilia na tunasaidiana

Sema huku JF kila mtu matawi ya juu,,Hata sisi wa kwa madongo kuinama tunaenda tu na upepo.
Nje ya hapo,maisha ni yaleyale ya kuwavumilia akina Baba mia mbili mbili wanazopata.
 
Kwani sisi hatuwavumilii??
Mbona tunawavumilia kabisa,Kuna siku mnarudi bila bila ila tunawapenda hivyohivyo.
Vizuri kabisa, heri wewe umekuwa mkweli. Kuna siku watu wanarudi bilabila hata kama una mshahara mkubwa. Ila kadiri siku zinavyoenda mbele maisha hubadilika, na kipato chenu hukua kutokana na sababu mbalimbali.
 
Nkamu tunavumilia na tunasaidiana

Sema huku JF kila mtu matawi ya juu,,Hata sisi wa kwa madongo kuinama tunaenda tu na upepo.
Nje ya hapo,maisha ni yaleyale ya kuwavumilia akina Baba mia mbili mbili wanazopata.
Shida ni kwamba, watoto wa miaka 20 na 30 wanataka kuishi maisha ambayo mimi mtu wa miaka 50 anaishi. Wanataka kuvaa vitu vya gharama ambavyo watu wakubwa wenye hela wanavaa, na kutembelea magari ambayo wakubwa wanatembelea. Hizo hela wakubwa wengi hawakuzipata ndani ya miaka 5, walimenyeka miaka isiyopungua 15, pamoja na kuvumiliana.
 
Kuna habari nilisoma..Graduate alivyopanga mipango mikubwa ya mishe zake hata cheti hajachukua.

Watu wakasema karibu mtaani.
 
Amen,
Hayo ni maombi yangu kila siku.

Na mimi nikipata chochote priority yangu ya kwanza ni yeye kuliko hata mimi.
Heri nikose,Apate.
May God bless you abundantly

Here are some verses from the Bible

Proverbs 31:30

"Charm is deceitful, and beauty is vain, but a woman who fears the Lord is to be praised."

Proverbs 31:20-21

"She opens her hand to the poor and reaches out her hands to the needy. She is not afraid of snow for her household, for all her household are clothed in scarlet."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…