Wabheja sana kutubles airtime mr Vocha!!Selfika na #voda#
*104*772387257641765#
Amen Sisy.Amenn Amen!! In mr Vocha' s voice π!!
Vizuri tu mr Vocha!! Kwani nasema uongo??ππ??Anatafunika?????...πββοΈπββοΈπββοΈ
Wow π
Boss lady nitafutie meno huko nikamtafune mrembo Tinsley πVizuri tu mr Vocha!! Kwani nasema uongo??ππ??
Hata sielewi na yeye kapotea?Kimya sana mkuu!! Halafu wewe uligoma mazima sio?? Vibaya hivoo!!
Nafurahi kukuona tena selfika mkuuu βοΈ!
Hivi cocastic unamuona huko kwenu??π€π€
Kama roketiπWatu wapo faster
Hata sielewi na yeye kapotea?
Ana almost 3 weeks kimyaaaaHata sielewi na yeye kapotea?
Ntamwambia mamiππππAna almost 3 weeks kimyaaaa
Nimemmisi mpaka naumwa Hakyanani tena ukimuona mwambie selfika tumemmiso mnooo!
Dah! We kaza ubongo tu. πKwani bei ya vifaa vya ujenzi imepanda tena???π³π³π³
Fanya hivo!! Hauna ka selfii hapo uniblessipo nipoze hii njaa hapa?? π€π€Ntamwambia mamiππππ
Usijari nitakusaprise mamiiFanya hivo!! Hauna ka selfii hapo uniblessipo nipoze hii njaa hapa?? π€π€
Dunia imejaa Maziwa na Asali Anko. Unaweza jikuta unamwaga Pension yote hapo.ππππ Kikubwa kujisitiri hata kwenye mapagara walio jenga mababuu
πππππ jamani!!Usijari nitakusaprise mamii
πππππππππ jamani!!
Haya ngoja nisubirie hio sapraiz
Hapa nikapashe kiporo changu kwanza nyumbani sasa!! πΆπΌββοΈππHujanibless selfii njaa nayo inakomaaa basi tabu tupuuπππ!!!!ππππ
Futa viwili tu katika maisha yako[emoji5]β
1. Alcohol,
2. Food,
3. Money,
4. Sex,
5. Football,
6. Music,movies
Goodmorning Team..[emoji1479]
Yolly yolly [emoji7][emoji7]
Kesho unapumzika mamii usijali I u ππHapa nikapashe kiporo changu kwanza nyumbani sasa!! πΆπΌββοΈππHujanibless selfii njaa nayo inakomaaa basi tabu tupuuπππ!!!!
See you later guys enjoy your time!!βοΈ
Antonnia