Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,573
- 235,412
Wanakwamisha shughuli za watu.J3 asbh wamekata ofisini kutwa nzima,,nikarudi home wakakata saa 1 ukarudi saa 4 uck
J4 jana,, ofisini hawajakata .. nikarudi kitaa wakakata kama masaa mawili , na ninasikia usiku walikata zaidi ya mara 2.. kuna muda mm saa 9 nimeamka kususu hamna umeme.
Leo ndio kama kawaida, ofisini kutwa nzima,, kitaani masaa manne
Tumezoea🤣
Mnyaki OG😍St Anne
Heshima yako chiefSalam kwenu wadau...
😁😁😁😁 Kikubwa kujisitiri hata kwenye mapagara walio jenga mababuuIt's official. Vijana hatutojenga.
Miss you 😘😘Mdogo wangu Sophy27 relaxxxx Tozo atamaliza Mad Max !!
Bila shaka kila kitu kinaenda vyema 😉
Samaleko semeji✋!
Miss you more mjomba wangu waukwee😍😍!!Miss you 😘😘
Unapotea sana shangazi sasa 😁😁😁Mjomba wangu National Anthem siku zote hizo bado haijapoa jamani???🙄
Nafurahi jamani shangazi yangu, famili ipo good kabisa?Miss you more mjomba wangu waukwee😍😍!!
Nipo mjomba kimeo changu kinazingua kinoma sikuhizi ndiomana!!Unapotea sana shangazi sasa 😁😁😁
RafikiEti ana binduki 3
Halafu ni chalii ya ara
Huyu tu mniaje
Iwe fundisho
Khakhakhaaaaaa!! Jilazi umeanza lini mjomba wangu 🤣🤣🤣🤗!!Namtazama tuu 😁😁
Ipo gudoo sana mjomba!! SelfiiiNafurahi jamani shangazi yangu, famili ipo good kabisa?
Yeah kiuvivu nafanyagaHope hua unafanya steaming walau mara2 kwa mwezi
Tunapoza na stress mkuu