Waoshe wakate vipande upendavyo waweke viungo chumv,ndimu au unaweza tumia venegar, tangawiz pia ukipenda waache dakika kadhaa viungo viingie ndani kisha kaanga ila km utakata vipande vikubwa vzuri zaidi uwachane Kwa juu kidogo kuruhus viungo kuingia ndani