Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Pole yani upo single na mitihan umekosaHapana
AnaumwaWifi yang yolly yolly hajambo
Mpe pole ukae karibu hapo undekeze bas na wewAnaumwa
Mimi sio Mwalimu sema naishi karibu na mazingira ya shule tuPole yani upo single na mitihan umekosa
Mdomo koma embu nilale mieMimi sio Mwalimu sema naishi karibu na mazingira ya shule tu
Nipo Safari yani nimesafiri anaumwa na kuumwa kwa ajili yangu ananimic sana siunajua mm ndyo Tajiri wake wa mahabaMpe pole ukae karibu hapo undekeze bas na wew
πππNipo Safari yani nimesafiri anaumwa na kuumwa kwa ajili yangu ananimic sana siunajua mm ndyo Tajiri wake wa mahaba
Usikumwema auntπMdomo koma embu nilale mie
Tumogheleeeπππhivyo yaani[emoji2]
Msalimie mumeo MjepUsikumwema auntπ
Kumbe ni siku yetu walimuπ₯°π₯°
Mahondaw
National Anthem atakukaribisha kuosha vyombo ππNawahi hiki hiki
Hadi National Anthem afike kitakua kimeisha ataambulia za uso tu
Ila sijui nitasiba?
π₯°π₯°KabisaKumbe ni siku yetu walimu
Chagua mwenye mkono mrefu tu mashemeji tupate iPhone 14Aunt Kuna mtoto wa mtu huku mtaani kwetu Namsikilizia naona km kanielewa hivi ila aunt yngu nasikia anajua kupenda Sasa sijui niwe nao tu wawili πππ
Siku ya watu single lini πππKumbe ni siku yetu walimu
Nipo Safari yani nimesafiri anaumwa na kuumwa kwa ajili yangu ananimic sana siunajua mm ndyo Tajiri wake wa mahaba
ππWee usiniambieChagua mwenye mkono mrefu tu mashemeji tupate iPhone 14
Nyie subirini siku ya kunyongwaSiku ya watu single lini πππ
Hahaha yani hapa tu anataka aje huku kanimic dahhπππ
urudi upesi , yolly adeke zake