Linaitwa bokoboko, ngano inapikwa imechanganywa na nyama. Unaweza kuweka samli au mazima mtindi kama unavyoona kwenye picha. Wengine wanaongezea sukari