Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila ukila sharti ubakishe ukimaliza mm mpishi ndo nishinde na njaa nakufukuza😂😂utakosa sifa za kuwa mgeni
Hahaha nikubakishie my sio tatzo wee Tena 😄😄 ,mpishi anadai msosi waajabu
 
Kuna mtu nilimdanganya kuhusu kitu flani….
Boom Mungu si Antony wa Padua akaona uzi uko same same na ile story ya udanganyifu 😂

Si akashare nami huo uzi,, sasa sielewi ananiwaziaje
Antony wa Padua ,ukaokota embe kweny mnazi😅😅✌️
 
Kuna mtu nilimdanganya kuhusu kitu flani….
Boom Mungu si Antony wa Padua akaona uzi uko same same na ile story ya udanganyifu 😂

Si akashare nami huo uzi,, sasa sielewi ananiwaziaje
Em nipigie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…