Ndio Ni ka babygirl,,, na mpendwa Nuzulati pia I hope wote wanaendelea vizuri!!
Fanya hima mkuu watoto ni baraka sijajua Saint Anne na Yolly Yolly ake putin possibly mwakani
Boss leide tayari ni mwenyekiti wa kamati ya vinywaji mkemia wetu.,utamsaidia HS kwenye mavazi maana nako upo vizuri.
Mwenyekiti tushampitisha,ni Mjep.
Boss leide tayari ni mwenyekiti wa kamati ya vinywaji mkemia wetu.,utamsaidia HS kwenye mavazi maana nako upo vizuri.
Mwenyekiti tushampitisha,ni Mjep.