Selfika na JF: Snap it. Show it

Embu niache huko sizitak vocha zenu tena za humu vocha za humu zina mikosi ya kuachwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkiniona Naomba vocha humu mniite mbwa nimekaa pale. [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117] [emoji23][emoji23]
Naprint hii comment, usije kukimbia uzi tuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na hauwezi kosa, huyo ana stress za mapenzi itakua leo yolly yolly wake hapokei simu zake ndio maana ameshinda humu leo
Ushindwe [emoji34][emoji34][emoji34]

Yolly yolly [emoji7][emoji7] kipenzi cha Carrasco binti mbichi mtoto laini jicho kama anamenya kitunguu swaumu yolly yolly wangu amebarikiwa sana Sema miguu yake tu dahhh kama wapiga gym [emoji26][emoji26]
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kamekuota si kale katoto ndoo ka Yolly yolly ka chama la wana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…