I am the righteous hand of God
And I am the devil that you forgot
And I told you one day you will see
That I'll be back I guarantee
And that hell's coming WITH ME
Inasikitisha sana
Lakini tukio kama hili hili akilifanya mwanamke,
Mfano ;Ameletewa watoto wasio wake na bado mume wake anamjibu mbovu..Huyu mwanamke akikasirika na kuamua kufanya la kufanya anaonekana mkatili.
Tena atashambuliwa kuwa ana roho mbaya.
Usaliti akifanya mwanamke unaonekana exceptional ila akifanya mwanaume inaonekana normal.