π€ π€ π€ π€ Ukweli ni kwamba sijawa tumia ikeda, ila kwenye gari ya mpenzi wangu ipo.. Na huwa nikichukua gari naitoa, naweka kwenye buti.. Sipendi ikeda ina harufu kali sana.. Vijana wenye crown wanapiga sana kazi kuliko wa BMW..