Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸!!
Reoreo mdogo wangu?? Nataka nimalizie mapema kabisa shughuli za siku ili nisisimuliweeeeee 🤔🤔🤔
Sijui siku saa mwana wa Adam atashusha Malaika🤣
 
Huyo mtu angemuachia kwanza, akishatuma vocha huku ndio amkeep busy

Au atakuja kutukumbuka usiku kama sikuile
Tena massage ya body to body, sasa hivi anateleza kama nyoooka.. Wanang'aaaa na wese lile.. Huku harufu ya maua mazuriii yanukia.. Hata ajui kama kuna watu twasubiri vocha
 
Thawaathawaaaa dadaaa!!! Nasubiria bwana akishuka nishuhudie bana semejiiiiiii!!
Mbarikiwe mnoooo 😘😘
Tumalizie na Frontview ya Avatar yangu

Komweeee😂😂😂💔
 

Attachments

  • Screenshot_20220915-172909.jpg
    Screenshot_20220915-172909.jpg
    54.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom