Ubuyu ameniachia mimi
Tunamsubiri Coca.Ubuyu ameniachia mimi
Nitawaletea kuanzia saa 6 usiku
Umeficha sanaaaa vibaya hivoo β€οΈβ€οΈβ€οΈππ!Utamhadithia Capteni kuwa
ile picha aliyoomba nipunguze emoji,nilipunguzaa emoj,nikaweka sura langu Pana kama sahaniπ
Na hili baridi la huku? Mnipeleke tu motoniAcha uchoyo ndio usiende motoni
Mdogo wangu hayo marangi hadi yamekuwekea moustacheπ€£Utamhadithia Capteni kuwa
ile picha aliyoomba nipunguze emoji,nilipunguzaa emoj,nikaweka sura langu Pana kama sahaniπ
Madam shikamooUmeficha sanaaaa vibaya hivoo β€οΈβ€οΈβ€οΈππ!
Uko Black biuriuuuuuuuuu mtoto mlainiiiπ
Fanya kunirushia 50k basiNimenotice kitu Lenie atm haina government levy
Nimetoa mia 4
Nikarudia mia 1
Naona nimekatwa tu efu 3
Ila vya jana sitaki kukumbuka
Ndani kwa teller na kwa wakala sirudii kutoa hela
Wa mchongo πUmeficha sanaaaa vibaya hivoo β€οΈβ€οΈβ€οΈππ!
Uko Black biuriuuuuuuuuu mtoto mlainiiiπ
Heee una dimpoz au nina wenge la macho mieUtamhadithia Capteni kuwa
ile picha aliyoomba nipunguze emoji,nilipunguzaa emoj,nikaweka sura langu Pana kama sahaniπ
Kuna mtu aliniambia kwa teller makato ni makubwa zaidi kuliko ATM baada ya kumlalamikia.Nimenotice kitu Lenie atm haina government levy
Nimetoa mia 4
Nikarudia mia 1
Naona nimekatwa tu efu 3
Ila vya jana sitaki kukumbuka
Ndani kwa teller na kwa wakala sirudii kutoa hela
Coca amuniachia mimi ubuyuTunamsubiri Coca.
Wakiweka nitakuita.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mdogo wangu hayo marangi hadi yamekuwekea moustacheπ€£
Hapa tumepigwaaaaaaaaaa.........Wa mchongo π
Labda niachie kivuli Cha picha
Shikamoo mwenyeweee mr Vocha usintanieee π€π€ unataka kuninyima nini kwa mfano weeee!! TakiiiMadam shikamoo
Hiyo ya mchongo imefunikaWa mchongo [emoji23]
Labda niachie kivuli Cha picha
Madam mimi cha kukunyima sina kabisaaa natangaza hadharani hata Carrasco putin anajuaπ€£π€£Shikamoo mwenyeweee mr Vocha usintanieee π€π€ unataka kuninyima nini kwa mfano weeee!! Takiii
Nizitoe wapi?π€£Heee una dimpoz au nina wenge la macho mie
ππππππCoca amuniachia mimi ubuyu
Ameniambia mkiamka niwape ila kwa roho mbaya niliyonayo nitawaletea kuanzia saa 6 usikuπ