Good morning 🌅 kwa wote mliomkumbuka mwenyenzi Mungu asubuhi hii. The power of prayers nothing but prayers. Na kwa wote ambao wiki hii mmewasaidia masikini na wenye uhitaji, kutoa ni moyo na sio utajiri. Sadaka yako ikabarikiwe na inshallah ikafungue milango yako ya mafanikio wiki inayoanza kesho.