National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Week ilikua na mambo mengi, jana nikafidia usingzMbona ulichoka mapema sanaa 🤠🤠
Mambo ya Vivi na Maria 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I love you too😂😂
Nimemmiss huyo mtoto alokuwa ananiita Chilita 😂😂Jana usingz ulinikamata mapema sana, nilikua hoii
Chilita alikufanyaje tena😅
Mjep mkuu selfika kidogo!
Aisee..Saint saint saint..... wasukuma sie.... hatuna tofauti na wamasai
Nzuri vipi wewe ?Salam za weekend wadau..
Salama kabisa jirani...Nzuri vipi wewe ?
Ooh vyemaSalama kabisa jirani...
Shwari jirani, tunaomboleza Malkia tu..Ooh vyema
Weekend inasemaje ?
Shikamoo jiraniSalam za weekend wadau..
Salama jirani hujambo weweShikamoo jirani
Marahaba jirani mpendwa..Shikamoo jirani
Hakika atakumbukwaShwari jirani, tunaomboleza Malkia tu..
Miss you jiraniMarahaba jirani mpendwa..