National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
๐ค ๐ค ๐ค Sikufanikiwa kuweka plast aisee.. Mie nilijaribu kumu iligiza P. DiddyNelly nae alikuwa mnyama sana, vijana walianza kuweka plasta...
Murder inc kipindi chao walikimbiza sana ile kesi ndio iliwamaliza gotti na ja rule ndio mwanzo wa kupoteana hadi leo๐ค ๐ค ๐ค Hii ngoma ilikuwa unyamaa sana.. Hadi leo ina vibe yake flani.. Murder Inc ๐ฅ๐ฅ. Watu tukaanza kuishi kama NY.. View attachment 2351757
AloooMtoto mzuri Saint Anne na kile kiuno kama nyigu hapo viuno ni kama propeller za boeing, namuonea wivu jamaa
Sure kulikuwa enzi hiyo na ushindani ๐คMurder inc kipindi chao walikimbiza sana ile kesi ndio iliwamaliza gotti na ja rule ndio mwanzo wa kupoteana hadi leo
Yap ndio ngoma kali za mwishoni mwishoni za ja hizi ๐raraa reree View attachment 2351758unaipata hii
Huyu mwamba namkubali sana lifestyle yake ๐๐ค ๐ค ๐ค Sikufanikiwa kuweka plast aisee.. Mie nilijaribu kumu iligiza P. Diddy
Hivi leo umelewa eti National Anthem leo hujamnunulia pombe kweli?Alooo
Huku chini sasa๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mimi mwenyewe Kuna muda namuonea wivu
Ila hata yeye atakuwa ananionea wivu ntakavyomkula.
Ndevu ndevu zile...kabody kajikusanye ,,vinyeleo nyie sijui itakuwaje๐๐๐๐
Mungu huyu alijua kutengeneza binadamu.
Haya shemasiSawa Mama mchungaji
Kupatwa kwa Saint AnneAlooo
Huku chini sasa๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mimi mwenyewe Kuna muda namuonea wivu
Ila hata yeye atakuwa ananionea wivu ntakavyomkula.
Ndevu ndevu zile...kabody kajikusanye ,,vinyeleo nyie sijui itakuwaje๐๐๐๐
Mungu huyu alijua kutengeneza binadamu.
Diddy unyamwezi mwingi, yule ndio young forever ๐ค ๐ค ๐ค ๐คHuyu mwamba namkubali sana lifestyle yake ๐
Wale nyumbu waje wapoteze mawazo na hizi katuni.Karibuni tuangalie cartoon wapendwa [emoji440][emoji440]View attachment 2351765
Amen and AmenAmen Mamy.
Afungue dabodabo ..Hela+mume .
Twende church keshoHaya shemasi
Atamwaga ubongo hakiyanani...Alooo
Huku chini sasa๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mimi mwenyewe Kuna muda namuonea wivu
Ila hata yeye atakuwa ananionea wivu ntakavyomkula.
Ndevu ndevu zile...kabody kajikusanye ,,vinyeleo nyie sijui itakuwaje๐๐๐๐
Mungu huyu alijua kutengeneza binadamu.
Mlokole huyo Pombe hanywi..Ila Alisha iombea hadi maombi na kila siku ananiambia bado mimi kuolewa.Hivi leo umelewa eti National Anthem leo hujamnunulia pombe kweli?
Mm napenda katuni kuliko Liverpool [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
I can't imagine๐๐๐๐๐Atamwaga ubongo hakiyanani...
KwendraaaaMm napenda katuni kuliko Liverpool [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kanisa lipi unipitie kabisa ?Twende church kesho