Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ewaaa maisha ndio haya haya, uje na kifurushi siku nzima tuna test kila aina eeh 🤠🤠🤠🤠 au nikufate chap chap shangazi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!! Kutwa watafuna karanga mara tende mara asili uje Unitengue Kiuno mjomba weeeeeeehhh!!🙌🙌🙌
Ngoja nikomae hukuhukuu kwa kina Putin 🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!! Unitengue Kiuno mjomba weeeeeeehhh!!🙌🙌🙌 Fanya kunitafutia big boy mwingine wee hapana mjomba!!!
🧒🧒🧒🧒 Shangazi mie mjomba wako usihofu hakuna kitacho haribika, Big boys umepata.. Tena muyukireini kabisaa pande la mtuu.. Ila kiuono kina nyooshwa tu shangazi
 
🧒🧒🧒🧒 Shangazi mie mjomba wako usihofu hakuna kitacho haribika, Big boys umepata.. Tena muyukireini kabisaa pande la mtuu.. Ila kiuono kina nyooshwa tu shangazi
Yukrein tena🙌🙌🙌🙌🙌🙌!! Hapo Acha nipambane nahali tyu mjomba!! nikishindwa hata tuwe kumi tutabanana hapohapo kwa mr Vocha mjomba!🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️😉😉😉
 
Screenshot_20220908_104712.jpg
 
Back
Top Bottom