Weeeeee chumvi wapi mr vocha unaonekana mtramuuuu balaaa π€£π€£πππππ€π€π€ππ!! Hakii wamepitwaaaa halafu li tall sasa wauweeeehhhhh!!πBoss lady utaua watu
Umetia chumvi sanaa
Awwwwwwwwwww sweetmadame kumbe mr vocha likaka limoja limetuliaaa afu li tall awwwwwwwwwww!!! Thubutuuuu kukutwa walai!! Kaweka kitu kimoja ni nouuumaaa!!π!Jamni arudie mbna kafuta haraka hivo
Mguu softiiiiii!! Hio michirizii hadi rahaaa![emoji8][emoji8][emoji8]
Ankle ya mama [emoji7]
Aunt mida ya naked nirusha hapa kitu live bila chengaJamni arudie mbna kafuta haraka hivo
Weee wanaume wanavoipenda hio wanaita mistari ya utamu wenyewe! Nkamu hauna kapicha ka kimini hapo nionepo hio mistari inavyokua nkamu π€!!mi siipendi na nipo nayo toka form one
Nilikua nataniwa basi siipendi mpaka ingawa kuvaa vimini siachi[emoji3]
Umemisika nkamuπYes Yes Darling..!
Mwee ngoja niangalie kama sikuitunza ile picha .hata siikumbuki
ziweke chumvi nitumie Dom[emoji18][emoji18]
Mie naikubali sana ile alioitoa kabla ya hii !! Yaani naikubali Mnooo!Mwee ngoja niangalie kama sikuitunza ile picha .
Nitakutumia Nkamu,ngoja niende Mbeyaπ
πππππ Nilivo na ubao hapa sasa!! π€π€π€π€View attachment 2348808
Tunaruhusiwa kuonja jamani ππ
Sasa Kuna ambayo aliitoa kabla ya ileMie naikubali sana ile alioitoa kabla ya hii !! Yaani naikubali Mnooo!
Kama inakuja inakata inakuja inakata vileee!!Sasa Kuna ambayo aliitoa kabla ya ile
Ilikuwa π₯
Ngoja niitafuteKama inakuja inakata inakuja inakata vileee!!
Hebu iangalie uiweke tuoneNgoja niitafute
Niliwahi kuitunza ila sina hakika kama sikufuta