Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,274
Kumekuchaaaa ! Wee mwehu Carrasco putin njaa zitakuua kimbia ugombanie vocha hukuu!Selfika na #tigo#
*104*743495681592291#
Kumekuchaaaa ! Wee mwehu Carrasco putin njaa zitakuua kimbia ugombanie vocha hukuu!Selfika na #tigo#
*104*743495681592291#
AfadhaliSelfika na #tigo#
*104*743495681592291#
Happy Birthday beautiful Tinsley 🎂🎂Today, I just want to thank God for adding another year to my life.
Shikamoo shangaziAfadhali
Kiswaswadu nilisahau kukitia vocha 🤸🏻♀️
Marahaba.. shikamoo na weweShikamoo shangazi
Boss lady mimi sina cha kukunyima
Atanisaidia kuitika shangazi Waseme Tuone kiswaswaduMarahaba.. shikamoo na wewe
Huyo ana cheti chenye lamination kabisa ujue!! shahidi sis Lovelovie Hachelewi kukuuza asubuhi kweupeeee huyo !🤭Boss lady mimi sina cha kukunyima
Hata brother Carrasco putin anaweza kuthibitisha hili
Msisumbuke nshapita nayooo💃💃🤸🤸Selfika na #voda#
*104*740843105585521#
🙏🙏Msisumbuke nshapita nayooo💃💃🤸🤸
barikiwa sana mr Vocha!!✌️
Nimeshamuacha🙌🙌Muache Waseme wangu


Weee kidogo nijikwae mguu tena😂😂Vocha zote zile ukanidorishiq? Haya njoo niku hot spot View attachment 2345692