12 kasoro πKwani ni anda eitin?π
Ila kwa sauti ile unaonekana bado kinda, sauti haijapitia kash kash za dunia bado12 kasoro π
Mkubwa kabisa12 kasoro [emoji23]
Acha kunisifiaIla kwa sauti ile unaonekana bado kinda, sauti haijapitia kash kash za dunia bado
Wapi hukoKijijini kwetu..
Leo hamnaAnipee ratiba
Leo hakuna mpira jirani?
Ndio udalali wenyewe huoSio dalali jirani...ananiunga tu.
Puppy wePana baridi na ukungu
Hapa nyakanazi
Halafu simu ipo chaji
Jaribu kutokea BariadiPopote tutakapotokeaπ
Kisaraweeee.....Wapi huko
Utalala njianiKisaraweeee.....
Kesho na keshokutwa jirani..Anipee ratiba
Leo hakuna mpira jirani?
Nawahi kabisa siku hiyohiyo.Utalala njiani
Sawa jirani, nitajitahidi.Kesho na keshokutwa jirani..
Si ndio vizuri sauti inibembeleze nilaleπAcha kunisifia
Nitakasirika nikuimbie tena ππ
Ulale salama jiraniUsiku uwe mwema majirani...
Nasinzia kidogo mpaka baadae..
KuchaπMlaleeee
Usiku mwema View attachment 2339097