Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Hutaniwi mkuu?Nikiendelea kujibu aina hii ya mwandiko hakika kuna kitu lazima nijishushie.
Pamoja sana mkuu.uwe na wakati mwema
🥂🥂
Zinaanzia ngapiUpande wa miamala hakuna shida..
Mpesa ipo vizuri tu ila sina mpango tena wa kuja kuunga bando la voda
Nina line 2 tu! Airtel na Voda.
Mawasiliano yamepamba moto sana Mungu ni Mwema.Inatia moyo mawasiliano yapo.
Wapi makofi yake.
👏👏👏👏👏Mawasiliano yamepamba moto sana Mungu ni Mwema.
Hivi tunamalizia kuandaa kadi.
Ili uangalie zinazochukua vocha humu?😂😂😂Zinaanzia ngapi
Zinaishia ngapi[emoji848]
[emoji1787][emoji1787]
🥰🥰🥰👏👏👏👏👏
👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿
🤝🤝🤝🤝🤝
Kwanza nilipe madeni yangu kabla sijakupiga ngumi😂Saint Anne, Chakorii nimemtania kanuna nisaidie kuomba msamaha...
Urongo unakusaidia nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzione zile fimbo zangu?[emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenyewe tu inaniogopesha[emoji23]
Nilijua tu utacomment[emoji1787][emoji1787]
Ile miguu imepinda kama rangi za mvua😂Urongo unakusaidia nini
Ewe mjori[emoji848]
Deni nalipa mwambie Chakorii asinune ulikuwa utani...Kwanza nilipe madeni yangu kabla sijakupiga ngumi😂
Napata wasiwasi🥰🥰🥰
Wewe una seat yako special pale mbele.
Tutakufanyia surprise.
Hajakuzoea.Deni nalipa mwambie Chakorii asinune ulikuwa utani...
Aisee[emoji1787]Pep anatokea wapi hapa wakati wametandikwa juzi vitatu bila[emoji1787]
Yaani usiwe na wasiwasi kabisa😂Napata wasiwasi
Umefurahi eeh???Aisee[emoji1787]