mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Sep 29, 2019 #2,501 kapeace said: Ile pic ya siku ile baada ya watu kuigugo nilijua kabisa uliipost ile kwa vile unafanania nayo Una sura nzuri sana Click to expand... Kama yako
kapeace said: Ile pic ya siku ile baada ya watu kuigugo nilijua kabisa uliipost ile kwa vile unafanania nayo Una sura nzuri sana Click to expand... Kama yako
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,293 Sep 29, 2019 #2,502 Atoto said: Inabidi tumuulize mama akiwa mjamzito ni vitu gani alitumia. Click to expand... Itakuwa alitumia ulezi kwenye mbege.
Atoto said: Inabidi tumuulize mama akiwa mjamzito ni vitu gani alitumia. Click to expand... Itakuwa alitumia ulezi kwenye mbege.
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Sep 29, 2019 #2,503 mshipa said: Usifute Click to expand... Nishafutaa
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,309 Reaction score 17,844 Sep 29, 2019 #2,504 Hannah said: .View attachment 1218800 Click to expand...
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Sep 29, 2019 #2,505 Mimi dada yako ujue Sakayo said: Utaweza tuu Click to expand...
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,388 Sep 29, 2019 #2,506 mshipa said: Kama yako Click to expand... Ipiiiiiiiiii we "mshipa mkuu"
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Sep 29, 2019 #2,507 kapeace said: Mi mpaka sasa sijasave pic hata moja humu ya huu uzi so tupo tunaotizama na kuendelea na yetu kiroho safi Ke naisave yako ili niipigie puli au labda nikakuroge uzuri ukutoke Click to expand... Hapo sawa dear.... Wachomoa betri hawachelewii
kapeace said: Mi mpaka sasa sijasave pic hata moja humu ya huu uzi so tupo tunaotizama na kuendelea na yetu kiroho safi Ke naisave yako ili niipigie puli au labda nikakuroge uzuri ukutoke Click to expand... Hapo sawa dear.... Wachomoa betri hawachelewii
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Sep 29, 2019 #2,508 Sakayo said: Nishafutaa Click to expand... Ipo bado iache tu
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Sep 29, 2019 #2,509 Cresida said: Mimi dada yako ujue Click to expand... Sawa dada
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Sep 29, 2019 #2,510 Sakayo i hope the volume is loud and clear. forumyangu said: Nipe location nikupitishie. Ninayo mawili alafu Yote ngozi Click to expand...
Sakayo i hope the volume is loud and clear. forumyangu said: Nipe location nikupitishie. Ninayo mawili alafu Yote ngozi Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Sep 29, 2019 #2,511 mshipa said: Ipo bado iache tu Click to expand... Khaaa
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Sep 29, 2019 #2,512 Mbavu zangu mshipa mkuu kapeace said: Ipiiiiiiiiii we "mshipa mkuu" Click to expand...
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Sep 29, 2019 #2,513 kapeace said: Ipiiiiiiiiii we "mshipa mkuu" Click to expand... Unajikataa sio?
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Sep 29, 2019 #2,514 Cresida said: Sakayo i hope the volume is loud and clear. Click to expand... Noted sisy
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,293 Sep 29, 2019 #2,515 Cresida said: Halafu ole wao waweke post ooo wadada wa jf wabaya nini na nini hiyo siku nitashuka nao si kwa visu hivi picha haichosi kutizama Click to expand... Halafu hiyo siku tunakomaa kama Hannah. Ikibidi tunamsingizia hata Rihana( na wengine wanaoamini ni wazuri) yupo jf.
Cresida said: Halafu ole wao waweke post ooo wadada wa jf wabaya nini na nini hiyo siku nitashuka nao si kwa visu hivi picha haichosi kutizama Click to expand... Halafu hiyo siku tunakomaa kama Hannah. Ikibidi tunamsingizia hata Rihana( na wengine wanaoamini ni wazuri) yupo jf.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,388 Sep 29, 2019 #2,516 Kweli bora kinga kuliko tiba wehu wengi humu Sakayo said: Hapo sawa dear.... Wachomoa betri hawachelewii Click to expand...
Kweli bora kinga kuliko tiba wehu wengi humu Sakayo said: Hapo sawa dear.... Wachomoa betri hawachelewii Click to expand...
Pure_sapiens JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 2,245 Reaction score 2,128 Sep 29, 2019 #2,517 Cresida said: Kaka samahani unaomba nini pm? Saaa huko intelijensia hakuna wabebs unakutana na kina life coded na atheist tu uwe unapitamo humu na mmu. Click to expand... Kweli kule Kuna wagumu tu, Bebez zipo huku nimeshuhudia Leo before nilijuwa jf tupo boys tu kumbe totoz wapo wa kumwaga. Nimepitia hii nyuzi mwazo mwisho sijaona hata kapicha kako ndo naomba pm.
Cresida said: Kaka samahani unaomba nini pm? Saaa huko intelijensia hakuna wabebs unakutana na kina life coded na atheist tu uwe unapitamo humu na mmu. Click to expand... Kweli kule Kuna wagumu tu, Bebez zipo huku nimeshuhudia Leo before nilijuwa jf tupo boys tu kumbe totoz wapo wa kumwaga. Nimepitia hii nyuzi mwazo mwisho sijaona hata kapicha kako ndo naomba pm.
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Sep 29, 2019 #2,518 forumyangu said: Nipe location nikupitishie. Ninayo mawili alafu Yote ngozi Click to expand... Aiseee Weka kwenye Raha Leo mkuu
forumyangu said: Nipe location nikupitishie. Ninayo mawili alafu Yote ngozi Click to expand... Aiseee Weka kwenye Raha Leo mkuu
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,388 Sep 29, 2019 #2,519 mshipa said: Unajikataa sio? Click to expand... Hahhahaah mi ndo naleta porojo tu mpaka sass hata ya kugugo nimeshindwa
mshipa said: Unajikataa sio? Click to expand... Hahhahaah mi ndo naleta porojo tu mpaka sass hata ya kugugo nimeshindwa
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,293 Sep 29, 2019 #2,520 Hannah said: Ya hivo hata nikisingiziwa ni mimi mabaharia wataamini. Click to expand...