πππππππ jirani me nina wangu tayari,, sitaki nyongezaJirani huyohuyo....mwendo utamrekebisha tu.
Kweli kabisa jiraniJirani huyohuyo....mwendo utamrekebisha tu.
π€£π€£π€£Retirement π€£π€£
Na ile 88 tu niko na upungufu wa 14k π€£π€£π€£ emu nipigie makofi
Hongera jirani...πππππππ jirani me nina wangu tayari,, sitaki nyongeza
Nilikuwa upande wa pili nangoja hiace, na yeye nikamuona ngβambo..Upoje π€£π€£π€£
Hujampiga picha?
Yan kila nikizivaa lazima atokee wa kunisifia πππ basi wananiharibuuuπ€£π€£π€£
Hongeraaa
Hongera pia kuzipumzisha zile hereni, maana ilikua kidogo zinene kwa lugha
Jirani...ungemsemesha...Nilikuwa upande wa pili nangoja hiace, na yeye nikamuona ngβambo..
Nimeanza kuona vumbi hewaniππ naangalia anaelitimua , hawafananii kabisa π€£π€£
Kwanini nimsemeshe? πJirani...ungemsemesha...
Halafu nimechemsha tu vyote pamojaWee majaribu hayo jaman, nimetamanii [emoji7] [emoji39][emoji39][emoji39]
Embu katume na humuNina haka ka mix tape ka zaidi ya dk 82
Ni ubarikio tosha..View attachment 2327306
Hakatumiki mkuu πEmbu katume na humu
Ni nzuri sanaπYan kila nikizivaa lazima atokee wa kunisifia πππ basi wananiharibuuu
J5 nilizivaa
π€£π€£π€£π€£π€£ labda alikua anawahi mahalaNilikuwa upande wa pili nangoja hiace, na yeye nikamuona ngβambo..
Nimeanza kuona vumbi hewaniππ naangalia anaelitimua , hawafananii kabisa π€£π€£
Best combination everπ
Mpaka ukauona ucute"...Kwanini nimsemeshe? π
Zisi sirediHuu uzi
Pembeni tunaweka ile wine ya Jina langu,Baba mtumishi alishamaliza kuiombeaBest combination everπ
Hata bila manjonjo inabambaπ
[emoji1635][emoji1635][emoji1787][emoji1787]Pembeni tunaweka ile wine ya Jina langu,Baba mtumishi alishamaliza kuiombea