Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂 hivi Kwani atm inatoaga chenji chenji??

Mimi kwenye kahela kangu uwaga kuna efu 8.. haijawahi kutoka 😂😂 yan naitumiaga kuwatoa wenzake… ama ninunue umeme

Crdb ya kwetu pale ni multiple 10 10 tu

Kwahiyo ile 1300,1500,1700 niisahau? 😂😂😂😂
Sasa si tuhamie SA?
 
Wanazibania hizo chini ya 10k hazitokagi hata😂😂

Eeh ndio tufanye mpango wa kushift
 
Wanazibania hizo chini ya 10k hazitokagi hata😂😂

Eeh ndio tufanye mpango wa kushift
Sasa wa kutupeleka SA amedisapia 🤣


Hao bado mimi sijawaelewa
Laki 4 walikuwa wanakata 1700

Laki 2 1500

Na chini ya hapo ni 1300

Kwahiyo sahivi wataendelea kukata hivyo? Plus na kato la Tozo na VAT?
Sema hii nchi michosho mno,, sasa anaza VAT la nini na washakata PAYE 😔
 
Najua ukimpa jirani lazima anipatie na mie
Jirani sio mchoyo kama wewe

Ila hee si nimeitamani😍😋😋
Nampa kidogo ili hata akikupa utapata kadoncho, hakatokata hamu


Kheee unatamani kitu changu? Na Pizza yako ulikula mwenyewe??
 
We si ndio umemdisapaisha, sijapenda🤨
Saivi ningekua zangu mambele najiselfie na wazungu

Yaani kila kukicha wanazidi kubana kila engo
 
Nampa kidogo ili hata akikupa utapata kadoncho, hakatokata hamu


Kheee unatamani kitu changu? Na Pizza yako ulikula mwenyewe??
Tutanunua yetu kubwa na jirani

We si hupendi pizza, nikila ambacho unapenda nitakupea na mimi
 
😂😂😂 kazidi ukorofi nae


Kama vipi tuchonge na waajiri, wAwe wanatupa hela mkononi
Lakini ana faida, ona sasa tunalia tozo zimeongezeka, akija saivi usirudie hyo tabia

🤣🤣🤣
Jinsi zitakavyoisha kesho yake maana vishawishi kama vyote hela ukiwa umeishika.
Bora ikiwa mbali huko uvivu kuifata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…