Awapi huku ni tofauti sanaaa msukuma kwanza Hakuna uhalisia hata chembeeee!!!! Huku fimbo ya mbaliiiiii πππππ Sitaki hekaheka mieee!!ππππππ Huku needs lot of time and preparations socially physically mentally spiritually and economically na mambo ni mengi muda mchacheeee arrrgghhhh ππππππππππππππππππππππππ Wacha nipambane nahali yangu hukuWalioko humu ndo wako huko huko mtaani Bosi Ledi. Unafikiri waliomo humu wanaishi mbinguni?
Hebu pita naked basi niendelee na mishe zangu. Nataka kuingia kwenye freeway...
Kabisaaa;!! Nishammiss mpaka basi hapa!!πππHuko field wanamnyima sana uhuru mpaka siyo poa. Anaingia JF kwa machale sana kama digidigi mpaka anashindwa kufuatilia na kujibu post kwa post. Haifurahishi kabisa! ππ
Nakuelewa japo sikuelewi; halafu tena ni kama nakuelewa. Nitakuja unieleweshe mpaka nielewe...Awapi huku ni tofauti sanaaa msukuma kwanza Hakuna uhalisia hata chembeeee!!!! Huku fimbo ya mbaliiiiii πππππ Sitaki hekaheka mieee!!ππππππ Huku needs lot of time and preparations arrrgghhhh yote hio yanini!!ππππππππππππππππππππππππ Wacha nipambane nahali yangu huku
niliko πππππππ!!
ππππ€£π€£π€£π€£π€£ utaelewa tyu msukuma elimu haina mwisho! Sema nene Mambo yao tuwaachie wenyewe mkuu yasikuumize kichwaaa! Uwe na wakati mwema huku sasa ni saa 23:26 pm Tuesday August 16!Nakuelewa japo sikuelewi; halafu tena ni kama nakuelewa. Nitakuja unieleweshe mpaka nielewe...
Huwaga hakuna fomyula. Love can strike anywhere anytime....
Hayanaga mwongozo....ila sema tu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana ππππππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Mwee nimepitwa[emoji1787][emoji174]Saint Anne Pau Bae Poker mamdo Carrasco putin
No kitambi anymore [emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]!!!
[emoji134]Saint Anne usiseme sijawekaa!![emoji2214][emoji2214][emoji2214]
Irudiwe [emoji3064]
Nikutakie usiku mwema wewe mwenye upole, usiye na makuu, thamani yako ipo moyoni, japo kuiona kwa macho ni ngumu, pokea salamu za usiku, ardhi na mbingu zikawe mashaidi wa pendo langu kwako, toa shaka na wasiwasi moyoni, liwake jua mchana ntakupenda, mwezi uchomoze usiku ntakujali, likizo nkipata ntakupeleka ibiza Spain, hela nkizishika ntakununulia Jamii forums, ukiota njozi uote zile mwanana za upendo, ntakuvumilia na kukuheshimu katika furaha na majonzi, usikibane kikohozi cha mapenzi, Poker nipo kukuvusha bahari na yatch ya kifahari, ntakupamba kwa vito vya thamani yaani rubi na almasi, ukihisi kuchoka ntakupeleka sayari ya mars kutembea, hizi ni salamu za usiku, zinatoka kwa huba la kasi kupitia upepo wa baharini, zikufikie habibty wangu tulizo la moyo wangu Antonnia π€πππππ€£π€£π€£π€£π€£ utaelewa tyu msukuma elimu haina mwisho! Sema nene Mambo yao tuwaachie wenyewe mkuu yasikuumize kichwaaa! Uwe na wakati mwema huku sasa ni saa 23:26 pm Tuesday August 16!
[emoji1787]Nakuelewa japo sikuelewi; halafu tena ni kama nakuelewa. Nitakuja unieleweshe mpaka nielewe...
Hayanaga mwongozo. Love can strike anytime anywhere ....ila sema tu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Maisha yanaenda kasi sana[emoji1787]Nikutakie usiku mwema wewe mwenye upole, usiye na makuu, thamani yako ipo moyoni, japo kuiona kwa macho ni ngumu, pokea salamu za usiku, ardhi na mbingu zikawe mashaidi wa pendo langu kwako, toa shaka na wasiwasi moyoni, liwake jua mchana ntakupenda, mwezi uchomoze usiku ntakujali, likizo nkipata ntakupeleka ibiza Spain, hela nkizishika ntakununulia Jamii forums, ukiota njozi uote zile mwanana za upendo, ntakuvumilia na kukuheshimu katika furaha na majonzi, usikibane kikohozi cha mapenzi, Poker nipo kukuvusha bahari na yatch ya kifahari, ntakupamba kwa vito vya thamani yaani rubi na almasi, ukihisi kuchoka ntakupeleka sayari ya mars kutembea, hizi ni salamu za usiku, zinatoka kwa huba la kasi kupitia upepo wa baharini, zikufikie habibty wangu tulizo la moyo wangu Antonnia [emoji847][emoji7]
Huyo anaekupigiaMwee nimepitwa[emoji1787][emoji174]
Poor me
Kuna call iliingia nikawa nimetoka.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
WamelalaMselfike sasa
Tuwaamshe waselfike watalalaje mapema hiviWamelala
Leo ya kahawa ipo ya kutosha βοΈβοΈβοΈ
Bado wamelalaSelfika na #airtel#
*104*53178909308214#