Na ndugu yake huyu Infiniti QX80 japo bei yake ya moto kweli ingawa wanafanana sana na Armada. Na hii ndiyo shida mojawapo kubwa ya Nissan. Magari yao yanafanana fanana sana. Toyota wamejitahidi sana kuitenga luxury brand yao (Lexus) na Toyota za kawaida. Hawa Nissan bado. Sasa mtu hata huoni sababu ni kwa nini ununue QX80 kwa bei ya kufa mtu wakati linakaribiana sana na Armada ambalo bei yake ni ya kawaida...