Mkuu hela ni hela tu iwe safi au chafumbona hela chafu hivo
Nimeuona mkono wake Bwanaaaaaa.
Lazima nikulipe na kitenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hili la moyoniHebuu hukoo!
Unataka upewe wewe tuu jamani
Mie sijaona jamaniAu nimeangalia vibaya dada
Kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hili la moyoni
Si text za mwisho nilizotuma uko nimeomba msamaha nikajua ni pm jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msamaha upi eti jamani, mekusamehe mimi jamani!!
Umefanana na nesi mmoja jina lake la kwa kwanza linaanza na D la pili M.
Mwenyewe
Muone kwanza
Na huku kulia jamani mabega yale halafu inaonyesha ni mtu wa mazoeziMie sijaona jamani
Meangalia shingo na kichwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisaaa
mbona hela chafu hivo
Good morning!View attachment 1256247
Hahahaa mama Mchungaji wa kanisa gani hilo; mbona waumini watakuwa na shida sana?
Dah... Ingizo jipya hilo[emoji39][emoji39][emoji39] adorabella geuza kidogo shingo kisha shusha camera chini kidogo Picha itatoka vizuri sana
Shem[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Dada wa unywele...yo back!!!
Ila hii thread ina wasomaji wa kimyakimya wanaoifatilia kuliko wachangiaji