spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,139
- 21,888
Shenzi zake huyu mbwaa, sasa ananinyanyasa kisa lak 7? Eti kaniambia ni zaidi ya Mil 2, hadi tumbo lilikua linauma, kanitambishia eti ataanzisha biashara ya sandols za kike.
Shenzi huyu ngoja nimchambe tsup, hadi akomee.
Ni hatar na nusu nmezoom sjaona ila guu ni balaaUsinambie Darlin ameshapita na nimekaa hapahapa nimepitwa???🤔🤔
Ni wee au nakosea??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi badili user name Katu[emoji23]
Hii ni ya MOM[emoji23]
Madam mzee kazeeka haoni vizuri jamani na anatumia kimeo yuko bushiiiiii network shidaaa mfanyie favor rudia kidogo 🙄🙄🙄😉😉!!Mbona nshakatiza hapa madam na tulkubaliana ni minisecond🙁
Najua basi subiri akija Depal tumuulizeAhsanteeeeee!!!!
Hii GOLD ndo hela ya wapi? Mbna ina thamani kubwa mnooo??
🙁🙁🙁sawa 2 minisecondsMadam mzee kazeeka haoni vizuri jamani mfanyie favor rudia kidogo 🙄🙄🙄😉😉!!
Umebadili jina bintiKaribu,[emoji2957][emoji2957]View attachment 2320803
Kumekuchaaaaa!!! St kayumba nimeachwaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nirudi shule upyaaa, hebu fafanua kwa kiswahili.
Nliishia la 7 C.
Amepita kama upepo😅😅😅Usinambie Darlin ameshapita na nimekaa hapahapa nimepitwa???🤔🤔
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua ni wee, lazima.Karibu,[emoji2957][emoji2957]View attachment 2320803
IrudiweeeeeeMbona nshakatiza hapa madam na tulkubaliana ni minisecond🙁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wee ni muongo sanaa, Lol.Acha vituko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nibadili jina kiss nini Bana nawe[emoji23]Umebadili jina binti