πππππ
Mimi mzima kabisa jirani....Asubuhi njema kwako.Me niko poa jirani, jana nikalala mapemaa.
Uhali gani jirani yangu
Noted π
Morning guys!![emoji113][emoji113]
Muwe na Siku njema yenye amani furaha na baraka telee!
Likawe kheri na fanaka kila jema mfanyalo IJN
Antonnia!![emoji3577][emoji3577]
Kweli jirani...tunaweza kumpoteza jirani yetu kwa wana-chuga..Ikifika jioni bado hajaonekana, itabidi nikatoe taarifa polisi waanze kumsaka.
Isije ikawa wasiojulikana wamefanya yao.
Naiwinda selfie yako mkuuTuselfike kabla hatujaondoka mkuuπ
Wana chuga sio watu wazuri kabisa. Nitafatilia hilo jirani usiofuKweli jirani...tunaweza kumpoteza jirani yetu kwa wana-chuga..
Sawa jirani..unijulishe.Wana chuga sio watu wazuri kabisa. Nitafatilia hilo jirani usiofu
Muhimu jirani yanguSawa jirani..unijulishe.
jambo rafiki mremboPresseeeeeeeeeeeeeeeeennnttttt!!!!!!β
Sijambo mkuu!!jambo rafiki mrembo
Boss lady shikamooSijambo mkuu!!
safi km hujamboSijambo mkuu!!
Hivi mimi nitaanza lini kuitwa jiraniau hiyo cheo bado sijahitimu mafunzo yakeπMuhimu jirani yangu
Marahabaaaaaa mr Vocha I hope uko vyediii kabisa bossi wetu selfika!!Boss lady shikamoo