Haya nakuaminiaaaa, najua kesho nna vocha ya 5k kutoka kwa shouga angu. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Will do that kesho shos angu pamoja sana!
Wakuje watume picha hapa.
π€£π€£Leo sitaki kuongea sana poker nimevaa mkanda wa kupunguza tumbooo hapa sipumui vizurii sicheki vizuriii sikohoi vizurii sili chakula kingi kidogo tu eti nashibaa unanibana hatariii naumiaaaa uwiiiiiiiiiii[emoji18][emoji18]! [emoji124][emoji124][emoji2533]β[emoji3601][emoji124][emoji2533]β[emoji3601][emoji124][emoji124][emoji124]cocastic shoss angu haya mambo zenu
Vijana yanaendaa kunishinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Nimeuvuaa jirani weeeehh !! Nilikua naumia tumbo mie mkanda unabana hatariiiii uvumilivu umenishinda nimeuvuaπππππππππ€£π€£
Nimeuvuaa jirani weeeehh !! Nilikua naumia tumbo mie mkanda unabana hatariiiii uvumilivu umenishinda nimeuvuaππππππππ
Salaam jirani! Huku tu bukheri wa afya!!Salam kwenu
Za kupulizia moto na kupoozea chai asee! Selfika banaLips denda hizo πππ
Safiii kabisa jirani, wewe jeSalaam jirani! Huku tu bukheri wa afya!!
Huku Mungu ni mwema sana jirani!!Safiii kabisa jirani, wewe je
Ogelea wiki mara 3 utapungua kidogo jirani..Nimeuvuaa jirani weeeehh !! Nilikua naumia tumbo mie mkanda unabana hatariiiii uvumilivu umenishinda nimeuvuaππππππππ
Ndio nini kukanyaga chakula wee poker??? Hii ushaiwekaga humu rudia nyingine ππHizo lips ni balaa nene zimejaa alafu nyekundu lainii View attachment 2320438
Uwiiiiiiiiii! Ngoja nijitahidi basi jirani sema nikiumia sana nautoa nipumue vizuri kidogo then navaa tena ivoivoπππ€£π€£π€£!!Ogelea wiki mara 3 utapungua kidogo jirani..
Sawa jirani..Uwiiiiiiiiii! Ngoja nijitahidi basi jirani sema nikiumia sana nautoa nipumue vizuri kidogo then navaa tena ivoivoπππ€£π€£π€£!!