Kuna mwanafunzi tulimchapa hadi tukaona tuache tuu.
.
Hajaandika kwenye madaftari yake halafu analazimisha ameandika.
Onesha alipoandika, anafungua daftari mwanzo hadi mwisho kurasa moja moja anafungua hadi ambazo hazijaandikwa.
Anatafuta alipoandika , ikumbukwe ni notes kama za mwezi ndio anazitafuta hivo bora ingekuwa siku moja ingeeleweka kachanganya kurasa.
Hadi Leo na kesho msimamo wake ni "niliandika kweli eti sijui zimeenda wapi".
Sijui ni kabila gani yule mtoto.