Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Mzur kuliko x wangu [emoji39][emoji39]
Asante mamy..Wasalaam dear umenougaaa!! Mwanamke mwenye mwili wake mamaa madikodiko!! looking so sexy πππ!!
AsanteeMideko umependeza sana
Wewe wa kutuma vocha Humu??? Thubutuuuu!!Selfika nikutumie vocha mdogo wangu
Hahaaaaa ndoivo shoss, shoss ako nadoda huku!! Fanya namna mtu ateleze Master planner kwanza nina hizo kutuuuuuu sura yote imejaaa mapele kwa accumution of ππ π€£π€£π€£ππππ!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaaaah umechachuka vibaya wee.
ππππ€π€π€Akili zako sasa Mamdo!! Mbibi mzima Mie ujue!!Ugonjwa wangu hapo kifuani chuchu kama hujazaa vile [emoji39][emoji39]
Unaniangusha Udsm studentπNifafanulie kwa kiswahili tafadhari, Ada hunilipii wee. Usiniumize ubongo wangu. Haya fanya haraka kutafsiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe vocha za jero bado zipo π€£πππ»ββοΈKazi kwenu View attachment 2314960
Huu usanii mamdo! Umevuta bange mapema yote hii!πππ€Kazi kwenu View attachment 2314960
Msanii tu huyo hata hazionekani vizuri mamdo sio wa kumuamini kabisa huyoo!!Kumbe vocha za jero bado zipo π€£πππ»ββοΈ
Pretty fine your always my sweetest wine! β€οΈπππHelloowww selfika!! Lovelovie sophy27 Pau Bae Wigelekelo myoyambendi Shimba ya Buyenze , Mr vocha the one and boss kubwaaaa Africa Mashariki na katiiiii Mjep the great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg,
Matajiri zangu wa kaskanini Depal mamaa dimpoz na bosi wangu waukwee Lenie nawengine wengi miss you sana wapendwa Tinsley mamaa lippppsss,, Alayna mzungu wetu Selfika the African Princess mcuteeeeππ,,
Niliwamisss sana wapendwa wanguuu nimerudiiiiii!!. Naona tags nyingi sana wapendwa all in all nashukuru sana wote mlonimiss miss you more guys πππ
.
cocastic babe akee naomba report pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!β€οΈβ€οΈππ
Forever and always
Antonnia
Na ukihangaika kuzizoom ili uingize huo ni umaskini uliopitiliza achana nazo my beautiful sweet sixteen! Ntakubless badae kipenzi changu tulizo la moyo wangu! πππβ€οΈMsanii tu huyo hata hazionekani vizuri mamdo sio wa kumuamini kabisa huyoo!!
Weehh poker jamani mie sio wine wakoππππ!! Sitaki balaaa na Bossi wangu mie!!πππππ€π€!!Pretty fine your always my sweetest wine! β€οΈπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe vocha za jero bado zipo [emoji1787][emoji119][emoji2299]