Selfika na JF: Snap it. Show it

Ushawahi kubeba mtoto mchanga?!
Ndo harufu yake sasa!!

Ila ngozi inakuwa lainiiiiii, nyororooo haina hata doa! Huwa napenda kupaka usiku
Kwa usiku sio ishu Ila mchana ndo naona jau..
Kunukia kimbogamboga siku nzima sio poa 😂

Hayo na parachute yapi bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…