Selfika na JF: Snap it. Show it

Wenye magari yenu, muwe makini mkivaa jezi hii, traffic police yupo sambamba nanyi, msiseme sijawaambia.

Yanga mnalo huu mwaka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Vibwengo na misukule walichoka kupigwa na jua jamani, wakaomba wajengewe nyumba, hatimaye wakajengewa maghorofaaa.

Huku Sensa ya makazi ikiwajia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…