Antonnia
Shougaaaaah angu njoo, nna umbea umenikaa hapaaa!! Na unajua sina kifua hichooo, puliiiiiiiz ukuje hapa. Sitaki kuhifadhi jambo moyoni, akuuuh moyo wangu unasukuma damu, umbea ni kazi ya mdomooooooo,
Njoooooh le shougareeeeeee!!!! Jf ya motoooo shougaaaa angu, ubuyuuu mtamuuuu huu, ukuje nawee khaaaah.