Selfika na JF: Snap it. Show it

Kazi kwakooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Utazagamuka kwaraha zakooo!! Mie sina tabuuu sinaga hekaheka kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akuuuuh sitaki, mie nshazeeka now!!!
 
Wee lipi hilo shoss angu?? Sijaonaa umeomba hapa chemba au tsup???
Nimesema tafuta mwanafunzi wa kiume mwenye vigezo navyotakaga, mpige picha nisuuze macho mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubarikiwe boss usie na kitambi ukitembea unanata mwanamke pekee mwenye signature ikulu ya marekani mamamaa mwenye mijengo mitatu mamaaa mwenye AC mpka CHOONI mwaka huu hauishi unaolewa boss ila fanya uselfika humu wamekumis tajir wa pekee mrembo haswa
Nyie wengine wenye vitambi na makomwe mtajua wenyewe mxieeew [emoji856][emoji856]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Unapenda kuhongwa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…