Sahiv nataka nisuke simpo tu nichechoka kufinywa finywa na kichwa kipumue!!!
Halafu juzi nimepewa ya kusukia mtendaji kajiharibia ratiba shenzz zake!!!😏😏😏😏😏😏!!
Asante japo kama kawaida.....wa namba inayoishia 31 nakusalimia in boss vochas name!! Umepepea na voda yanguuuu !!!! Tujiandae na wiki nyingine ya kazi sasa