Ehh bwana yesu kristo ushiriki ubinadamu wetu kwa hiari yako upate kumponya mgonjwa na kumuokoa, umjalie afya ya mwili na roho mfariji kwa Kinga yako mpe nafuu kwa nguvu yako
Msaidie atumaini kuokoka kwa njia ya mateso kama ulivyotufundisha kutumaini hapo ulipoteswa kwa ajili yako
Sent from my SM-G935T using
JamiiForums mobile app